KESI YA KUBENEA NA MAKONDA IMEFIKIA HAPA
#PICHA
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na wakili wake, Peter
Kibatala (kushoto) pamoja na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani,
Lawrence Masha (katikati), kabla ya kupanda kizimbani katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi
zinazowakabili. Kubenea anatuhumiwa kwa kutumia lugha ya matusi kwa mkuu
wa Mkoa wa Kinondoni, Paul Makonda huku Masha akituhumiwa na shitaka la
kutoa lugha ya matusi dhidi ya maofisa wa Jeshi la Polisi.
