JOTO LA DAR NI NOUMA SANA KWA SASA
#PICHA
Kijana akiwa amelala katika bustani za Jivanjee/ Karimjee, mtaa wa
Sokoine jijini Dar es Salaam, kutokana na jua kali linaloendelea nyakati
za mchana jijini humo. Ugumu wa maisha kwa vijana, nini suluhisho ya hili?