Edward Lowassa Atoa Mkono wa Pole Kwa Wagonjwa Hospitali Ya Kilimanjaro CRCT
Aliyekuwa
mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na
kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa,
akimjulia hali mzee Khalfan Kangero (95), pamoja na wagonjwa wengine
katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi jana akiwa njiani
kuelekea Monduli mkoani Arusha kwa mapumziko ya kuuaga mwaka.
