DK. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA HALI ILIVYO ZANZIBAR KWA SASA (VIDEO)
Dec 26 2015 Rais John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Dar es salaam.
Kwenye hii video hapa chini kuna taarifa kamaili ya yote waliyozungumza viongozi hawa.