DIWANI KILOSA AVUNJA KAMATI YA MAJI

Diwani wa kata ya Magole wilayani Kilosa mkoani Morogoro Alfat Saidi amelazimika kuvunja kamati ya maji kutokana na kushindwa kufikia malengo ya makusanyo ya fedha za mradi wa maji kiasi cha shilingi milioni kumi na nne laki nne kwa mwaka na badala yake kukusanya zaidi ya shilingi milioni moja na laki mbili tu kwa miaka mitatu.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.