Breaking news>>>>>>>KAFULILA ACHEZEWA RAFU NA NEC KATIKA KESI YAKE YA UCHAGUZI
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameituhumu Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (Nec) kushirikiana na mtu aliyemwita kigogo kucheza mchezo wa kuhakikisha
anashindwa katika kesi aliyofungua Mahakama Kuu kuiomba itengue ushindi wa Hasna
Mwilima (CCM), na kumtangaza kada huyo wa NCCR-Mageuzi kuwa mbunge.
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(Nec) kushirikiana na mtu aliyemwita kigogo kucheza mchezo wa kuhakikisha anashindwa
katika kesi aliyofungua Mahakama Kuu kuiomba itengue ushindi wa Hasna Mwilima (CCM),
na kumtangaza kada huyo wa NCCR-Mageuzi kuwa mbunge.
Dar es Salaam. Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameituhumu Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (Nec) kushirikiana na mtu aliyemwita kigogo kucheza mchezo wa kuhakikisha
anashindwa katika kesi aliyofungua Mahakama Kuu kuiomba itengue ushindi wa Hasna Mwilima
(CCM), na kumtangaza kada huyo wa NCCR-Mageuzi kuwa mbunge.
Matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa jimbo hilo yalikwama kutangazwa kwa siku kadhaa kutokana
na kutokea mabishano kati ya Kafulila aliyekataa kura kuhesabiwa upya kwa madai kuwa maboksi
yalilala polisi bila ya usimamizi, na Mwilima.