BONDIA FRANSIS CHEKA APIGWA VIBAYA NA THOMAS MASHALI HEBU TAZAMA MAMBO YALIVYOKUA
| Mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Mwanne Haji wakioneshana umwamba kastika mpambano wao wa ubingwa wa raundi kumi ambapo lulu kayage alibuka bingwa wa TPBC kwa kumpiga Mwanne kwa point. |
| Bondia Lulu Kayage kushoto akimtwanga ngumi Mwanne Haji wakati wa mpambano wao wa ubingwa Lulu alishinda kwa point katika mpambano uho wa raundi kumi . |
| Mabondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao Lulu alishinda kwa point |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano huo. |
| Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano huo. |
| MABONDIA VICENT MBILINYI KUSHOTO SHABANI KAONEKA NA IMAN DAUDI MAPAMBANO WAKIMSHANGILIA USHINDI WA MBILINYI |
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
| Bondia Fransic Cheka akikwepa konde zito la Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa raundi kumi uliofanyika morogoro Mashali alishinda kwa point mpambano huo |
| Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambambano uho wa raundi kumi |
| Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambambano uho wa raundi kumi |
Kupata Video Kali Aina Zote, Bofya Hapa Chini