PROGRAM 6 MPYA KWA SMARTPHONE>>> DOWNLOAD HAPA KUWEZESHA SIMU YAKO
1.
Vid Mate, Ni
program inayokusaidia kudownload video mbalimbali katika Youtube,Watsapp, na
Facebook pia kwa wale wapenda mambo yetu yale ndani ya VidMate una ingia katika
DesiLady.
2.Vault, Ni
app inayokusaidia kuficha vitu katika simu yako kama,video,message, na picha
ambapo mtu hawezi ona sms zako za siri au picha zako za siri.
3.
Go sms Pro, Ni app nzuri sana katika simu yako ina
badilisha mwonekano wako wote katika sms katika sehemu ya sms kunakuwa na
mwonekano mzuri sana.
4.
Imo, Ni
app unayoweza kuwasiliana na mtu ukamwona na yeye akakuona katika simu yako
hasa vizuri zaidi simu yako ikiwa na kamera ya mbele ni nzuri na inafaa zaidi.
5. Shazam, Ni
app ambayo inakusaidia kujua au kutambua wimbo ambao huujui kama wimbo
unaimba na huujui jina au msanii basi app hii ni nzuri unaifungua na
kuisikilizisha wimbo huo na kukupa jina na wimbo
6.Tanzania Newspapers, Ni app ambayo inakusaidia kusoma magazeti
katika simu yako na ukawa update na habari mpya za kila siku magazeti
kama,Mwanainchi,Daily News,Habari Leo,Tanzania Daima, n.k