MWANACHAMA WA CCM AWAJERUHI KWA PANGA NA SHOKA WANACHAMA WAWILI WA CUF
Jeshi
la Polisi mkoani Tanga limemtia mbaroni mwanachama wa chama cha
mapinduzi Jullius Joseph kufuatia kuwajeruhi vibaya wafuasi wawili wa
chama cha wananchi CUF kwa kuwakata kwa kutumia shoka na panga na
kuwajeruhi vibaya ambapo hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya rufaa
ya mkoa wa Tanga ya Bombo kwa ajili ya matibabu.