HIVI NDIVYO>>> JUMA ABDUL>>> WA YANGA ALIVYOKUTWA NA DEMU WA MTU
Juma Abdul sio jina geni masikioni mwa watanzania na wapenda soka wengi, Juma Abdul anafahamika kwa uwezo wake mkubwa uwanjani hasa katika nafasi yake ya beki, kama ambavyo Juma alivyokuwa staa katika nafasi yake ya soka watu wengi hupenda kumuona akicheza uwanjani.
Beki huyo kwa sasa anaichezea klabu ya Dar Es Salaam Young African na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Juma Abdul ni mchezaji tegemeo katika nafasi zote mbili kuanzia Yanga hadi Taifa Stars. Amplifaya ya Clouds FM ilifanya exclusive inteview na Juma Abdul ameeleza tukio ambalo liliwahi kumkuta ila hajawahi kumwambia mtu yoyote.
“Kitu
ambacho sijawahi kumwambia mtu yoyote mtu wangu ni tukio ambalo
lilitokea nipo Yanga, kulikuwa na msichana nilikuwa nampenda lakini
hakuwahi kuniambia kama ana mtu wake, siku moja tumetoka nimemsindikiza
katika sherehe ila wakati tupo katika sherehe akaja mtu akampiga makofi
nauliza kuna nini nikapigwa mtama nikaona bora nikimbie kumbe mbele kuna
mtaro una matope” >>> Juma Abdul
Hii ni sauti ya Juma Abdul