DK. MAGUFULI KAFUTA SHEREHE ZA UHURU 9 DECEMBA

BREAKING NEWS: Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ameagiza kutofanyika kwa sherehe za Uhuru tarehe 9 Desemba, na badala yake siku hiyo itumike katika kufanya usafi katika mikoa yote nchini ili kukabiliana na mlipuko wa kipindupindu.









Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.

Chanzo : ITV
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.