BREAKING NEWSSSSS!! MH JAMES LEMBELI AFUNGUA KESI KATIKA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA KUPINGA USHINDI WA KISHIMBA JIMBO LA KAHAMA MJINI.

HATIMAYE ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KAHAMA MH JAMES LEMBELI HATIMAYE AMEFUNGUA KESI KATIKA MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOFANYIKA OCTOBER 25 MWAKA HUU NA KUMTANGAZA MBUNGE WA CCM JUMANNE KIBELA KISHIMBA KUWA NDIYE MSHINDI.

AKIZUNGUMZA BAADA YA KUFUNGUA KESI HIYO NAMBA 1 YA UCHAGUZI YA MWAKA 2105 ILIYOSAJILIWA NA NAIBU MSAJILI WA MAHAKAMA HIYO Mh.S.P MWAISEJE,MH LEMBELI AMESEMA KUWA AMEFUNGUA KESI HIYO ILI KUPATA HAKI NA HATIMAYE KUWATETEA WAKAZI WA KAHAMA MJINI.

ENDELA KUSOMA KIJUKUU BLOG KWA UNDANI WA HABARI HII.!!






Theme images by hanoded. Powered by Blogger.