BREAKING NEWS YA MAAJABU KAHAMA : WATU WATANO KATI YA SITA WALIOFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA DHAHABU KWA SIKU 41 WAKUTWA WAKIWA HAI


Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watu watano kati ya sita waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika machimbo ya nyangalata wilayani Kahama Mkoani Shinyanga kwa siku 41 wameokolewa usiku wa kuamkia leo wakiwa hai.

Kwa mujibu wa taarifa za awali inasemekana watu hao walikuwa wanaishi kwa kula Mende,udongo na magome ya miti maarufu kama matimba, na sasa wapo katika hospitali ya wilaya ya Kahama wakiendelea na Matibabu.

Endelea kutembelea kuitembelea Dunia Kiganjani Blog tutakutaarifu zaidi hivi Punde.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.