YANGA YAUA TABORA SIMBA NA MTIBWA ZA CHINJA.

Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea leo ikishuhudiwa Yanga kupitia kwa Dornald Ngoma na Deus Kaseke wakiwalaza kagera suger pale Ally Hassan mwinyi Tabora,wakati simba wao wamewabamiza wanalizombe majimaji kwa mabao 6 kwa moja na mtibwa suger kuikalisha mwadui kwa goli 4 kwa moja.
    Michezo mingine Mbeya cty na costal union mchezo umevunjika dakika ya 88 huku timu hizo zikiwa zimefungana goli moja kwa moja baada ya Mbeya cty kupata penati na mashabiki kuvamia uwanja jambo lililo sababisha mchezo kuvunjika.matokeo ya michezo ya kesho pia azam watashuka dimbani.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.