Mwigizaji Emmanuel Jal ambaye pia ni mwigizaji kutoka Sudani Kusini,
ameungana na baadhi ya Wasanii kutoka nchi mbalimbali akiwemo Vanessa
Mdee
wa Tanzania, Juliani wa Kenya na Syssi Mananga wa Kongo kwenye
kutengeneza wimbo wa kupinga mauaji ya Tembo kwenye bara la Afrika wimbo
unaitwa ‘Tusimame”.