SHUHUDIA UNYAMA HUU TUNAOMBA RADHI KWA PICHA UTAKAYOONA KWENYE HABARI HII

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA INAYOONEKANA KWENYE VIDOKEZO
Mwanafunzi ambaye amefahamika kwa jina moja la LEMA Alikua akisoma mwaka wa 4 kozi ya sheria katika chuo kikuu kishiriki cha Mt.Augustino Tawi la Iringa (Ruaha University College-RUCO).

Baada ya tukio hilo wakatokea watu (2) waliojitambulisha kuwani askari wakaamuru mwanafunzi huyo asipigwe kwa madai ya kumfikisha kituoni.
Lakini baada ya mwendo mfupi kuelekea kituoni wananchi wenye hasira kali walimchukua kijana huyo kinguvu na kwenda kumchoma moto.
Mpaka sasa Kijana huyo amelazwa katika wodi ya watu mahututi (ICU) katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa.