MAMBO MENGINE HUWA TUNAJITAKIA WENYEWE....
Kamera
ya Mtaa kwa Mtaa blog ilifanikiwakumnasa mdau huyu pichani akiwa katika
heka heka yeye sambamba na kipandwa chake huku akiwa ameshikilia Roli
kwa lengo la kumsaidia apate ulahisi wa kuteleza kwenye mkeka huo bila
kujari usalama wake kwani nihatari juu ya mchuma huo lolote linaweza
kutokea hapo..
ona sasa mwenyewe hapo foreni la magari arafu ukizingatia barabara hiyo si rafiki kabisa...
mchuma huo ukifunga.bleki au kipandwa kikipiga mweleka unahisi nini kitatokea hapo.....?

