JENGO LA EKAMASUITES LODGE YA KIJITONYAMA DAR LATEKETEA KWA MOTO
Jengo lilivyoteketea kwa moto. (DK)
Jengo
moja la Nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo eneo
la Kijitonyama karibu na Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar es
Salaam, imeteketea vibaya kwa moto muda mfupi uliopita, Kikosi cha Zima
Moto kimechelewa kufika eneo la tukio na taarifa zinasema, kikosi hicho
ndipo kinawasili eneo hilo tayari kuuzima moto huo.(GPL)