Diamond Platnumz afanya kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!


Diamond Platnumz ameendelea kufanya collabo na mastaa wengine Africa. toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
d-n-d-3
Diamond sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios nchini South Africa, na hapa kuna picha za wasanii hawa wawili wakiwa studio wanarekodi nyimbo yao mpya pamoja.
donald-na-diamond2
d-n-d-2
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.