Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam UDSM Champa Tuzo Mwanamuziki Diamond Platnumz
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki Diamond Platinumz
Tuzo ya the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo
ilipokelewa na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye
alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba
zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu.......
Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
- nikkwapili Kwaniaba ya @diamondplatnumz @diamondplatnumz mzawa wa tandale katika hii fani yetu tuliyokuwa tunaitwa wahuni....leo yeye ndio the most inspiring (kijana) as a music icon....TUZO IMETOLEWA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SAALAM , KITIVO CHA MASOKO 4h....
