BABY,KAMA HUWEZI KUJA KUNICHUKUA NAKUJA NA TAXI UTALIPA


''Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a VADI''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??BAbako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile,eti we mwanawe Diva,Diva my beuatiful legs!
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.