NIMEKUWEKEA HAPA VIDEO YA MICHELLE OBAMA (Mke wa Rais OBAMA) AKICHEZA DANCE LIVE.. NAJUA UTASHTUKA SANA
Lets move ni
jina la campaign ambayo ilianzishwa na First lady wa Marekani, Michelle
Obama ambapo kampeni hiyo inahusiana na kuhamasisha masuala ya
kuzingatia mlo mzuri, pamoja na kuwa na furaha.
Sasa ni kwamba juzi Michelle alikuwa kwenye Interview na Jimmy Fallon, ishu ninayokusogezea sio kile walichokiongea siku hiyo.. najua utaona kitu tofauti hapa.
Michelle na Jimmy walijiachia..
waka-dance muziki.. wanaonekana happy tuu.. nikajiuliza kitu, hivi ni
rahisi kwa mke wa Rais huku Afrika eti kumkuta anacheza kama hivi?