VIDEO: HATARI SANA! MREMBO ADATA NA OMMY DIMPOZ, ASHINDWA KUJIZUIA
Japokua
haikuwa inaruhusiwa kwa shabiki kupanda kwenye stage, shabiki huyo
alipenyeza na kufanikiwa ambapo baadae Askari akamfata ili kumshusha
lakini akaishia patupu.
Bonyeza play hapa chini kutazama video yenyewe…
Baada ya kuiweka hii video Ommy Dimpoz aliandika >>> Askari alikuwa ananiambia kwa Kiarabu kuwa Mshushe ATAKUPWELEPWETA lol asante sana @mkubwafella kwa kutuletea furaha mpya @Yamoto_band#aboutlastnight #OmanTour