Pini jipya la Christian Bella "Mzee wa Masauti" soon kwa maskio yako
Posted on Fri 27th / Mar 2015 12:15:31 PM
Baada
ya Nani Kama Mama - Mzee wa masauti aka King of Melodies Christian
Bella anategemea kuachia ngoma yake mpya April 1, ngoma inaitwa
Nashindwa, video yake imefanyika South Africa.TOA MAONI YAKO HAPA CHINI