
!
Muigizaji Aunty Ezekiel kwenye ukurasa wake wa Istagram jana usiku
aliweka video ikimuonesha akiwa Hospitali na akiwa amembeba mtoto
mkononi ilivuma na katika picha zake zote hiyo ndo ilipata comments
nyingi zaidi watanzania wakimpongeza kwa kujifungua, Mose Iyobo ambaye
mara nyingi ametajwa kuwa ndiye baba wa mtoto huyo, amesema Aunty yuko
location wanashoot movie mpya aliyocheza na msanii Dude. Ni movie kweli
au kajifungua?