Sasa hivi kwa kutumia Smartphone yako unaweza kufanya vipimo vya HIV, magonjwa ya zinaa

Timu ya watafiti kutoka chuo cha Columbia Univesity kimebaini simu za kisasa za smartphone zinaweza kupima kwa haraka na urahisi virusi vya Ukimwi na magonjwa wa zinaa.
Kwa kutumia App ambayo una-install kwenye smartphone ama iPad, halafu unaunganisha kwenye simu kupitia tundu la kuwekea headphone, basi majibu ya vipimo hivyo yanapatikana ndani ya dakika 15!
Kifaa hicho kinapatikana kwa gharama ya Dola 34 (sawa na sh. 55,000/= Tshs).

Hii ni iPhone ikiwa imeungwa na kifaa hicho.
Inasemekana
hadi sasa wanawake 96 kutoka Uganda wamefanyiwa vipimo kwa
njia hiyo na kupata majibu yanayoridhisha na kuchapishwa
kwenye jarida la masuala ya sayansi na tiba Uganda.