mpyaaa>>>HII NDIO JAMII YA AJABU AMBAYO HUKATWA VIDOLE KATIKA KILA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA NDUGU
Hii
imeshtua wengi walioisikia, kwa wale waliobahatika kuitembelea basi ni
mashuhuda kwamba watu wengi wa kutoka jamii hiyo wamekatwa vidole na
ndugu yoyote wa marehemu anakatwa vidole, umri sio kitu kinachoangaliwa
sana hivyo hata watoto pia wanaguswa na hii moja kwa moja.
Hapa
vidole vinakatwa kwa shoka, vipande vilivyokatwa vinachomwa moto halafu
majivu yanahifadhiwa au kuzikwa pamoja na mwili wa marehemu.
Jitihada zimeanza kufanywa ili kuzuia utamaduni huo ambao madhara yake yameanza kuonekana kwa sasa