Hii hapa Ajali mbaya iliyotokea Kilimanjaro

Ajali iliyotokea eneo la mchura kilimanjaro
AJALI mbaya
imetokea mchana wa jana eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro baada ya basi
la Harambee kugongana na lori na kusababisha watu sita kujeruhiwa na
wawili kati ya hao kuumia zaidi.

Mtandao huu uliongea na kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro na kathibitisha ajali hiyo kutokea.
