Baada
tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae
hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa nakuwa
humo nikijisomea na kutumia computer.
Ndugu
yangu huyu alikaa south africa kwa muda kidogo alikuwa chuoni sasa
amekuja hapa nyumbani kwa shangazi yake ambaye ni mama yangu, sasa
amekuja na vichembe chembe vya tabia za huko yani hana aibu kabisa ,
mimi nikiwa katikati ya kujisomea anaweza akaja akaniomba nimpige picha,
huwa wakati mwingine nakasirika kwani ananitoa kwenye mood ya kusoma
ila nashindwa tu ni mfanyaje.
Siku
kama tatu zilizopita alikuja tena amevaa hovyo kweli anaomba nimpige
picha ili amtumie boyfriend wake, daaaahh nilichoka sana alinikata stimu
kweli kweli. Sasa simulewi ni kwamba amezoe tu yeye anaona ni kawaida
au anataka mambo