The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Entertainment/Events/WAZIRI MKUU MWANAFUNZI WA UDOM AFUKUZWA CHUO AENDELEZA REKODI YAKE YA KUFUKUZWA VYUO MBALIMBALI HAPA NCHINI
WAZIRI MKUU MWANAFUNZI WA UDOM AFUKUZWA CHUO AENDELEZA REKODI YAKE YA KUFUKUZWA VYUO MBALIMBALI HAPA NCHINI
Taarifa rasmi zinasema uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) umeazimia kumfukuza chuo moja kwa moja waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa college of humanities and social sciences bwana MWAKIBINGA na kumsimamisha rais wa serikali hiyo. Maazimio hayo yanafuatia kikao cha council ya chuo kilichoketi jana jioni. Wawili hao wanadaiwa kuchochea mgomo uliotokea jana chuoni hapo. Ikumbukwe kwamba MWAKIBINGA aliwahi kusimamishwa chuo kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya kuruhusiwa kurudi
chuoni na kuendelea na masomo. Je unazungumziaje swala hili? Ushauri
wako na chochote unachokijua kuhusu mambo kadhaa yaliyopo chini ya
kapert..