WATU WA FAMILIA MOJA WAKAMATWA WAKIWANGA KWENYE NYUMBA YA JIRANI YAO TAZAMA HAPA MCHAKATO MZIMA
MUME NA MKEWE WAKAMATWA WAKIWANGA KWA JIRANI ZAO MCHANA KWEUPE, PICHA NA HABARI KAMILI.
Tukio la kichawi lililofunga mwaka huko mkoani Katavi ni lile la wanandoa wawili mume na mkwewe waliokutwa wakiwanga kwa majirani zao mchana kweupe kwa kile walichodai kunalipizia kisasi kwa vitendo walivyowafanyia mwaka wote wa 2014.
Tukio hilo lilotokea leo majira ya saa8 mchana ambapo majirani zao walikuwa wameondoka na asubuhi na kuwaaga majirani zao hawa kuwa wanakwenda mkoa wa jirani wa Mbeya, na watakuwa huko wakijumuika na ndugu zao wanaowaendea kusheherekea mwaka mpya. Inasemekana baada ya kuondoka ndipo walipoitumia nafasi hiyo mchana kweupe kwa kuizunguka nyumba ya majirani zao na kuifanyia mambo ya kishirikina.
Wanandoa hao walijikuta wakikamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi ya jeshi la polisi la mkoa huo baada ya taarifa kutolewa na wasamalia wema kwa jeshi la polisi kuwa kuna watu wanafanya mambo ya kishirikina kwenye nyumba ambayo wahusika wa nyumba hiyo hawapo. Wakihojiwa kwa nyakati tofauti kwanini walifanya tukio hilo, wanandoa hao walidai kuwa waliamua kufanya hivyo kwa nia ya kulipizia kisasi kwa kile walichodai ni yale makosa yote waliyokuwa wakifanyiwa na majirani zao kwa mwaka 2014.
Mwanamke akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa alikungia nyumba ya jirani zao mchana Mkoani Katavi.
Baadhi ya makosa waliodai kufanyia ni pamoja na kudhulumiwa sehemu ya shamba lao ambalo ni mpaka baina yao na majirani zao hao, walidai kuwa majirani zao walitumia nguvu ya fedha kuwadhulumu sehemu kubwa ya ardhi yao ambayo wangeitumia kwa kulima mazao ambayo ingewaongezea kipato chao.
Hata hivyo majirani wa washukiwa hawa walirudi na kulieleza jeshi la polisi kuwa suluhu ya eneo lililokuwa utata baina yao lilishapatiwa ufumbuzi na wanashangaa kwa majirani zao hawa kuwafanyia haya kwa kudai kwanalipiza kisasi kwa jambo
Power by jamjicho.blospot.com