WABUNGE WAAMUA MISHAHARA YAO IPUNGUZWE
Uamuzi
wa Wabunge hao unatokana na kuibuka kwa malalamiko ya wananchi katika
mitandao ya kijamii nchini humo kuwa wamekua wakipokea kiasi kikubwa
cha fedha zaidi ya milioni nne kwa mwezi huku mfanyakazi wa kawaida akipokea dola moja na nusu.