Shughuli
mbalimbali zimekuwa zikiendelea juu ya daraja la Kimara mwisho kama
ilivyonaswa na mdau wetu, ambapo wengine wameonekana wakipiga picha za
biashara na biashara nyinginezo. na pia taarifa rasmi ni kwamba mradi
huo bado haujakabidhiwa rasmi kwa serikali