VIONGOZI WOTE WA PANYA ROAD HAWA HAPA WAELEZA WANAVYOFANYA KAZI NA MIPANGO YAO SOMA HAPA ZAIDI
VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA |
NA KAROLI VINSENT
TAARIFA
ambazo zimetufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya
Dar Es Salaam limewakamata jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati
za kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dareslaam
mapema hivi karibuni
Akizungumza
na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum
ya Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata
viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia
kufanyika kwa vurugu hizo,
Habari kamili itakujia hivi punde endelea kufuatilia mtandao huu