Haya
ni Mapokezi Ya Abdu kiba Aliyoyapata jana Ucku Airpot kutoka Kwa Team
kiba waliokuwa Pamoja Na Kaka yake Ally kiba Ambaye Alikuwepo katika
Mapokezi hayo Wakati Akitokea Nchini UK london Uingereza baada ya kukaa karibu Mwezi Mzima pamoja na kufanya Shoo takriba Sita katika jiji la London