Rais Kikwete ahudhuria sherehe za Kumuapisha Rais Mpya wa Msumbiji
Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Msumbiji Filipe
Jacinto Nyusi muda mfupi baada ya kuapishwa jijini Maputo Msumbiji leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Mpya wa Msumbiji Filipe
Jacinto Nyusi pamoja na Rais wa Msumbiji aliyemaliza muda wake Armando
Emilio Guebuza katika viwanja vya ikulu ya Maputo baada ya sherehe za
kuapisha leo.(picha na Freddy Maro).
.jpg)
.jpg)
.jpg)