KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA KATIKA JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI Like · Comment · Share
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama
wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati
Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la
Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya
kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi
mbalimbali ya chama.
katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia
wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika
mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara
yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini
Magharibi.Nape pia aliipongeza kazi nzuri inayofanywa na Dkt shein ya
kuimarisha chama,amewataka viongozi mbalimbali wa chama hicho kuiga
mfano wake,pia amewataka viongozi wa chama hicho kuacha kuwa na majivuno
badala yake watoke na kukutana na wananchi kuwasikiliza na kuwatatulia
matatizo yao kwa namna moja ama nyingine.
Baadhi
ya Wanahabari wakiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya
leo katika uwanja wa Binti Amran Mpendae,wakati Katibu Mkuu wa
CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika Wilaya ya
Amani,Jimbo la Mpendae mkoa wa Mjini Magharibi.
Sehemu
ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo
la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini Magharibi wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo
katika uwanja wa Binti Amran Mpendae,wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika Wilaya ya Amani,mkoa wa
Mjini Magharibi.
Mkutano ukiendelea katika uwanja wa Binti Amrani Mpendae,Wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi jioni ya leo.
Sehemu ya Meza Kuu.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar,Vuai Ali Vuai akisoma baadhi ya vifungu
vilivyomo kwenye katika inayopendekezwa mbele ya wananchi (hawapo
pichani) katika mkutano wa hadhara,uliofanyika jioni ya leo kwenye
uwanja wa Binti Amrani Mpendae,Wilaya ya Amani,mkoa wa Mjini Magharibi.
Sehemu
ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae katika jimbo la Mpendae,wilaya
ya Amani,Mkoa wa Mjini Magharibi wakifautilia yaliyokuwa yakijiri
katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa
Binti Amran Mpendae,wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa
akihitimisha ziara yake katika Wilaya ya Amani,Jimbo la Mpendae mkoa wa
Mjini Magharibi.
katibu
wa NEC-Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwalisha kiapo baadhi ya
wanachama wapya walijiunga na chama hicho sambamba na kukabidhiwa kadi
za uanachama.
Sehemu
ya viongozi mbalimbali wa chama cha CCM wakishangilia jambo katika
mkutano huo wa hadhara uliofanyika leo kwenye uwanja wa Binti Amrani
Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.
Wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara.












