The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Love/JE WEWE NI MWANAUME MFUPI NA UNATESWA NA MAPENZI KWA SABABU YA UFUPI WAKO ? DAWA HII HAPA
JE WEWE NI MWANAUME MFUPI NA UNATESWA NA MAPENZI KWA SABABU YA UFUPI WAKO ? DAWA HII HAPA
Kama
wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo
uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa,na hela ya
kuhonga huna....Naelewa mateso unayoyapata mtaani maana kila msichana
unayejitoa kumpenda kwa moyo na dhati anasema hawezi kuwa na wewe kisa
we mfupi anaogopa kuchafua Ukoo na mbegu mbovu...Cha ajabu msichana
huyohuyo after few days unakutana nae kakumbatiwa pale KFC na kijamaa
kina mapengo kifupiii ila kina Vogue pembeni mdada anambusu
hadharani...Usilie.Tafuta hela tu.Hawa viumbe ukiwa na hela tu wanakuona
mrefu,utapendwa mpaka ujihisi unatembelea nyota ya Diamond. Money is the most handsome man on the Planet,if you have him he makes u handsome too