JE UNAJUA KUWA KUNA WATOTO WANAOFANANA SANA NA MASTAA MAKUBWA DUNIANI NIMEKUWEKEA HAPA MAPICHA HAYO TAZAMA MWENYEWE UTAAMINI
Kuna msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana na mtu unayemjua?
Hapa nimekuwekea pichaz ya Mastar ambao kuna watoto wadogo ambao wanaonekana wanafanana nao kiasi kwamba unaweza kuhisi picha hizo ni za mastar hao wakiwa wadogo au ni watoto wao wa kuwazaa, lakini hawana uhusiano wowote.
Rapper Jay Z.