Baada Ya Kutukanwa Matusi ya Nguoni Zari The Boss Lady Sasa Akutana Live Na King Lawrence.

Ukisikia
pesa mwanaharaum basi ndio style yake hii, week mbili zilizopita
tulisikia story za King lawrence kumtukana matusi ya nguoni Zari The
Boss Lady ambaye ni mpenzi wake na Msanii wa bongo fleva kutoka hapa
Tanzania anayewakilisha vizuri kwenye Tuzo kubwa duniani kama MTV na
zingine nyingi Diamond Platnumz, sasa King Lawrence bado anaendelea
kusambaza ubuyu kwa kutoa picha zao wakiwa pamoja unafikiri nini
kimemfanya zari kurudi kwa King Lawrence wakwati mategemeo ya wengi
ilikuwa ni bifu kali kati yao hawa wawili.