WANAWAKE HUKO UINGEREZA WAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WATENGENEZE KALENDA YA 2015 TAZAMA PICHA ZAO HAPA
KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka 50 nchini Uingereza limeamua kupiga picha za utupu zitakazotumika kwenye kalenda ikiwa ni mbinu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa East Anglian Air Ambulance ambao hutoa huduma za dharura za kitabibu kwa kutumia helkopta katika baadhi ya wilaya nchini England.
Pozi kwa ajili ya mavazi ya mwezi Desemba.
Price William ndiye rubani wa ndege itakayotumika kutoa huduma hizo za kitabibu katika baadhi ya maeneo nchini England.
Kundi
hilo lina mpango wa kumtumia nakala ya kalenda hizo, Price William
ambazo zitasaidia katika kukusanya fedha zitakazosaidia helkopta hiyo
itakayokuwa inaendeshwa na mtoto huyo wa malkia wa Uingereza.
Wanawake 14 kutoka Huntingdonshire wamekubali kupiga picha za utupu katika pozi tofauti

