Story mpya kutoka kwa msimuliaji wako jamjicho, tucheke na kufurahi pamoja.............

Jamaa 1 alimtia mimba mwanafunzi.
MWANAFUNZI: Mimba sitaitoa baby na usijali kuhusu kwetu kwani tunapesa nyingi mpenzi wangu.
JAMAA: Kwani wazazi wako wanakazi gani?
MWANAFUNZI: Mama RPC, Kaka HAKIMU na BABA MKUU WA GEREZA,dada MWANASHERIA.
JAMAA: Kimoyomoyo (kumamae JELA ileeeee!). mchana mwema marafiki zangu.