PATCHO MWAMBA BAADA YA KUFUMANIWA NA KUPOKEA KICHAPO CHA NGUVU CHEZEA X-MAS WEWE

TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumania na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji  na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi japokuwa hadi sasa Patcho au watu wake wakaribu hadi sasa hawajajitokeza  kukanusha taarifa hizi.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.