Wapenzi wa burudani wakipiga picha 'Red Carpet'. Umati wa mashabiki wa burudani wakisherehekea Mwaka Mpya 2015. Shampeni zikifunguliwa kwa fujo. DJ mkongwe, DJ Max akimwagiwa shampeni ikiwa ni kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa.