The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Events/News/MAGARI YA ZAMA KATIKA MAFURIKO JIJINI DAR
MAGARI YA ZAMA KATIKA MAFURIKO JIJINI DAR
MVUA
kubwa iliyonyesha leo imesababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya
Jiji la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama
inavyoonekana pichani juu.