KWELI DUNIANI KUNA WATU WANA PESA MCHEKI HAPA JAY-Z AKILA BATA NA FAMILIA YA NDANI YA SIKUKUU
Kila jicho liko kwao, hii ndio Couple ya mastaa yenye nguvu zaidi Marekani, Jay Z naBeyonce wako na mtoto wao Blue Ivy, December 04 ilikuwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Jay Z, tukaona pichaz kibao wakiwa Iceland wakila good times.
Hawajarudi
Marekani bado, December ni mwezi wa mapumziko kwao, wanazunguka sehemu
mbalimbali Duniani wakienjoy, pichaz za mwisho walizoshare na sisi
kwenye mitandao inaonyesha wako zao Thailand, good times palepale, Queen Bey ameonekana kuenjoy vacation hiyo akiwa juu ya Tembo.