Habari
za ndana zimetua katika zulia la thesupestarstz na kueleza kuwa
mwanadada nyota wa tanzania katika anga la filamu wema sepetu ameingia
katika hatua mbaya na rafiki yake Kipenzi Naima ambaye hivi sasa ni
maadui zaidi ya chui na paka kufuatia tuhuma zinazomkabili Naima kuwa
ndiye alimpokonya wema kigogo wake aliyekuwa anakula tunda tamu zaidi
ya asali.
Habari zaidi
zinzeleza kuwa picha hizo za aibu zimevuja mara baada ya aliyekuwa shoga
yake Wema Sepetu kabla ya kutemana nakuwa maadui wasio iva chungu
kimoja aitwaye Naima kuchukuliwa na aliyekuwa mpenzi wa Wema ambae ni
kizito anaetajwa kwa jina la Clement.
Chanzo
chetu baada ya uchunguzi kimeanza kunasa na kugundua kuwa hadi picha
hizo kuvuja huenda ni mashabiki wa Wema walifanya hivyo kumkomoa tu
Naima kwani kumekuwa na chuki za wazi wazi mtaani haswa katika mitandao
ya kijamii watu kumponda naima kwa kile kinachosemekana ni kumpora
wema bwana wake.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu kisicho na hata chembe za kusinzia na ambacho
kinapatikana pia katika kundi la marafiki wa naima na wema kimesema
kuwa kwa sasa wema yupo kimya ila watu wanamchokonowa tu huku kikieleza
kuwa wema hawezi kufanya upuuzi huo na ana mambo mengi ya
kufanya,,,,,,,Mimi nataka ujue kuwa
wema hana muda mchafu wakudili na kinyago kama Naima we jiulize kwa
nini hizo picha zilikuwa hazijavuja siku zote hizo zivuje leo ?, hiyo
ni mikakati ya mashabiki wa Wema pengine ambao daima hawapendi kuona
Wema akinyanyasika na ndio maana zimevuja baada ya kumchukua bwana wa
mwenzie kilisema chanzo hicho makini cha thesuperstarstz.”
Picha
za naima zimevuja hivi karibuni zikimuonesha maziwa wazi pamoja na
kumuonesha nyeti zake za nyuma na mbele jambalo limeichafua familia
yake sana huku wakimlani mtu aliyefanya hivyo.