HIVYO NDIVYO YA MOTO BENDI WANAVYOTENGENEZA VIDEO YAO TAZAMA HAPA FULL PICHA


.
.
Kundi la Yamoto Band linalosimamiwa na Mkubwa na Wanae pamoja na kupata mashabiki wengi kila kona ya Tanzania time hii wapo katika maandalizi ya video yao mpya ya wimbo uitwao Ntakupwelepweta
Video hiyo inatayarishwa chini ya director Adam Juma wa kampuni ya Visual Lab/NextLevel na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye utengenezwaji wa video hiyo mpya.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.