AZAM NA YANGA YAWAKUTA YA SIMBA
Mshambuliaji
wa Yanga,Hamis Tambwe akiipatia timu yake bao la kusawazisha katika
mtanange wa muendelezo wa ligi kuu tanzania bara unaoendelea kuchezwa
hivi sasa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.Yanga inaongoza
bao 2-1.Picha zote na Othman Michuzi.
Mfungaji
wa goli la kwanza kwa timu ya Yanga,Hamis Tambwe na Mfungaji wa Bao la
pili,Simon Msuva wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Azam katika
uwanja wa taifa jijini Dar es salaam hivi sasa.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi na Washabiki wao.
Wachezaji wa timu ya Azam FC wakishangilia goli yao la kwanza dhidi ya Yanga




