A Nice Story: " Graduate, Go Back Home And Make A Change"- Barack Obama
Dada yangu Hoyce Temu anasimulia alipokutana na Obama 2006 kabla hajawa Rais..
"Alikuja kwa campaign Arizona State. Arizona is the largest University in the US. Na wakati ule Mc Cain alikuwa Senator wa Arizona, so the competition was too intense!
Kabla hajaanza kuongea, kulikuwa na utambulisho wa makundi mbalimbali likiwemo la wanafunzi wanaotoka Afrika. Kama kiongozi wa African Students, basi, ndio nikapata nafasi ya kuwatambulisha wenzangu. Seriously, I never knew, even had a clue nilikuwa naongea na the next President!
Baada ya hapo we had coffee with him at Sturbucks na I remember he said one thing many times to me: "Graduate and go back home and make a change!"
Na hata kwa campaign aliwaasa International students wanaozamia, that a better life was in their homes if they will graduate!
Am happy at least nimerudi nyumbani and making changes as much as I can! "- Hoyce Temu.